.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Julai 2016

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA UPANUZI NA UKARABATI UWANJA WA NDEGE DODOMA

g1 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza king’ola kuashiria uwekaji jiwe la msingi la Mradi wa Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Dodoma Julai 302016. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Jordan Lugimbana. Kushoto ni Meya wa manispaa ya Dodoma, Jafari Mwanyembwa na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa.
g2
Waziri Mkuu,Kassim Majliwa akikagua upanizi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Dodoma kabla ya kuweka jiwe la msingi mjini Dodoma Julai 20, 2016.
g3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la misngi la upanuzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Dodoma mjini Dodoma Julai 20, 2016.
g4 g5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika hafla ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Dodoma Julai 20, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni