Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza Ikulu mara baada ya Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) waliopandishwa vyeo kula kiapo cha maadili ya Utumishi wa Umma Ikulu leo, Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Lameck Nchemba na Naibu Waziri Injini Hamad Masauni.(PICHA NA JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE-IKULU)Makamishna
Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi
wa Jeshi la Polisi (SACP) waliopandishwa vyeo wakiapa mbele ya Rais Dk.
John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa serikali Ikulu leo.Makamishna
Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi
wa Jeshi la Polisi (SACP) waliopandishwa vyeo wakiapa mbele ya Rais Dk.
John Pombe Magufuli na viongozi mbalimbali wa serikali Ikulu leo.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo ya Kamishna wa Sekretariati ya Maadili ya Umma Jaji Mstaafu
Salome Kaganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akifafanua mambo mbalimbali mara baada ya makamishna hao kula kiapo cha Maadili katika utumishi wa Umma Ikulu leo.
Baadhi ya Makamishna wa jeshi la Polisi nchini na viongozi wa vitengo mbalimbali Makamo Makuu ya Jeshi la Polisi wakifuatilia kiapo hicho.
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kulia Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Othman Rashid wakiperuzi mtandao huku wakifurahia jambo wakati wa hafla ya kuwaapisha Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Ikulu leo
Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Balozi John Kijazi akisamiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika hafla hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati Kamishna wa Sekretariati ya Maadili ya Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda. akiwaongoza Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Ikulu leo wakati alipokuwa wakila kiapo kulia ni Mh. Angela Kairuki Waziri Katika Ofisi ya Rais Utumishi wa tatu kutoka kulia ni Mh. Mwigulu Nchemba Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na wa nne ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni
Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) wakitia saini mara baada ya kula kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma Ikulu leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na baadhi ya Makamishna Wasaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) na Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Ikulu leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Pamoja na Makamishna wa Jeshi la Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Kamishna wa Sekretariati ya Maadili ya Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda mara baada ya kiapo hicho kukamilika kulia ni Waziri Ofisi ya Rais Utumishi Mh. Angela Kairuki na katikati ni nyuma ni Balozi John Kijazi Katibu Mkuu Kiongozi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitoa huduma ya kugawa vitafunwa kwa wageni wake mara baada ya hafla hiyo kumalizika
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni