Alhamisi, 14 Julai 2016
MAWAZIRI WA UTAWALA BORA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wa Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni