Milipuko
mikubwa iliyofuatiwa na milio ya risasi imesikika karibu na lango kuu
la kuingilia uwanja wa ndege wa Jiji la Mogadishu nchini Somalia.
Moshi
mzito umeonekana ukipanda juu kutoka katika eneo hilo, ambalo pia
lina kambi ya walinda amani wa Umoja wa Afrika.
Waandishi
wa nchini Somalia wamesema milipuko hiyo imesababishwa na mabomo
mawili.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni