Watu zaidi ya 180 wamekufa maji
kutokana na mafuriko karibu na mto Yangtze nchini China kufuatia mvua
kubwa zinazonyesha.
Mvua ya sentimita 10 hadi 50
imenyesha katika mikoa saba, huku kimbunga kinachoambatana na mvua
kikikumba eneo la kilomita 1,600 kati kati na kusini mwa China.
Taarifa zaidi zinasema watu 45
hawajulikani walipo, huku wananchi milioni 33 wakiathiriwa na mvua
hizo.
Uwanja wa mpira wa Ezhou katika mkoa wa Hubei ukiwa umejaa maji
Mwananchi akiogelea kwenye maji ya mafuriko
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni