Nyumbani anakoishi kijana Emanuel Fedrick na wazazi wake mtaa wa Mwambenja Iganjo jijini Mbeya. |
Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya Amani Kajuna akitoa maelekezo kwa wazazi wa kijana Emanuel Fedrick mara baada ya kukabidhi rasmi kiti maalum (Wheelchair)kwa kijana huyo |
Mama Mzazi wa kijana Emanuel Fedrick amwenyetatizo la ulemavu wa akili na viungo akipokea godoro ambalo limekabidhiwa na David Nyembe kwaniaba ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mbeya. |
Muonekano halisi wa Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Iganzo Mbeya ambaye anatatizo la akili akiwa amelala .Picha E.Madafa,D.Nyembe |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni