.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Julai 2016

PENUEL CONFERENCE 2016

PENUEL Maana yake ni mahala pa Kukutana na Mungu uso kwa uso na nafsi
yako ikabaki salama, hii ni kulingana na Mwanzo 32:30 kwa kile kilicho
mtokea Yakobo,Kongamano la Penuel linamahanisha mahala pa kukutana na
Mungu kupitia Neno lake linalo hubiriwa na watumishi wake mbalimbali
kulingana na maelekezo juu ya watu wa Mungu!
Katika Kongamano  hili la PENUEL 2016 litajumuisha wanenaji kutoka nje ya Tanzania na  ndani ikiwemo Arusha,Afrika Kusini,Mbeya, DRC, Kenya, Cameroon n.k

Mwenyeji wa PENUEL 2016 Apostle Onesmo Ndegi na Lilian Ndegi. Pia wanenaji wengine kutoka Tanzania ni Askofu Emmanuel Tumwidike kutoka Mbeya na Bishop Olam Mustapha kutoka Arusha. 

Kutoka Kenya ni Bishop Tengu Yoka nakutoka Africa Kusini ni Dr.Apostle Peter Muteba pia kutoka Cameroon tunaye Bishop Angela Acha-Morfaw na Apostle Israel Abam kutoka Nigeria.

Mahali ni Living Water Centre Kawe, Dar es salaam, Tanzania Uzinduzi wa
Kongamano ilikuwa ni leo siku ya Jumanne kuanzia saa 8:00 mchana,siku
zinazofuata ni kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 12 Jioni.Karibu
Ukutane na Mungu kupitia Neno kupitia watumishi wake! Barikiwa!<


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni