Wanafamilia wakicheza mchezo kwa kukimbia wakiwa wamewabeba wenza wao ikiwa ni sehemu ya Familia ya wafanyakazi wa kiwanda cha Bia(TBL) mkoa wa Arusha.
Watoto wakichorwa michoro mbalimbali na mtaalamu wa (Face Paintings) ikiwa ni sehemu ya kuwafanya wafurahie siku ya leo
Katika kujali afya za wafanyakazi na wanafamilia wao wataalamu wa afya kutoka AAR wakitoa elimu ya lishe bora.
Meneja wa Kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha,Salva Rweyemamu(kushoto)akimpongeza kapteni wa timu ya Uzalishaji baada ya kuwabugiza timu ya Mauzo mabao 4-0
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni