Wajumbe toka Serikali ya Tanzania wakifuatilia mjadala wa Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi uliofuatiwa na kutiliana saini kwa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini yenye thamani ya dola Milioni 300, kati ya Tanzania na Korea, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dar es salaam .
Wajumbe toka Serikali ya Tanzania wakifuatilia mjadala wa Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi uliofuatiwa na kutiliana saini kwa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini, kati ya Tanzania na Korea, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dar es salaam .
Wajumbe toka Serikali ya Tanzania na Korea wakisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa wa Korea kuhusu Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi kabla ya kusainiwa kwa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano yenye thamani ya dola za Marekani Milioni 300, kati ya Tanzania na Korea, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dar es salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Amina Hamis Shaaban akifuatilia mjadala wa Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi uliofuatiwa na kutiliana saini kwa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini yenye thamani ya dola za Marekani Milioni 300, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda, Afrika Mashariki na Uhusiano wa Kimataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi (kulia) akisoma Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini na Serikali ya Korea kabla ya kusainiwa kwa hati hiyo yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 650, Jijini Dar es salaam
Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mamelta Mutagwaba (kulia) na wajumbe wengine wakifuatilia mjadala kuhusu Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi kabla ya kusainiwa kwa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Wajumbe kutoka Serikali ya Korea wakisoma Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini na Serikali ya Korea kabla ya kusainiwa.
Wajumbe kutoka Serikali ya Tanzania wakifuatilia mjadala wa Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi uliofuatiwa na kutiliana saini kwa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini.
Mjumbe kutoka Tanzania akichangia hoja katika mjadala wa Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi uliofanyika katika ukumbi wa Wizara jijini Dar es salaam kati ya Tanzania na Korea, kabla ya kusainiwa kwa Hati ya Ushirikiano ambapo Korea imeahidi kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 650.
Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Mamelta Mutagwaba (kulia) na wajumbe wengine wakifuatilia mjadala kuhusu Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi kabla ya kusainiwa kwa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Amina Hamis Shaban (katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa (Uchumi) wa Korea Weon-Kyoung Jo (kushoto) wakisaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo, yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 650, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Hamis Shaban na Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa (Uchumi) wa Korea Weon-Kyoung Jo wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo baada ya kusainiwa. Hati hiyo ina thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 650.
Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mamelta Mutagwaba, akipeana mkono na mmoja wa wajumbe kutoka Korea baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo, yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 650.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Amina Hamis Shaban (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa (Uchumi) wa Korea Weon-Kyoung Jo (katikati) wakibadilishana mawazo baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo, kulia ni Afisa kutoka Korea
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Hamis Shaban (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa (Uchumi) wa Korea Weon-Kyoung Jo (wa pili kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tanzania na Korea baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Hamis Shaban (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa (Uchumi) wa Korea Weon-Kyoung Jo (wa pili kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tanzania na Korea baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo. Picha zote na Wizara ya Fedha
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni