.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Julai 2016

UTURUKI YAWASHTAKI RASMI MAJENERALI 99 KWA KUHUSIKA NA MAPINDUZI

Uturuki imewashtaki rasmi majenerali 99 kwa kuhusika na mapinduzi yaliyozimwa ya mwishoni mwa wiki.

Wakati huo huo rais wa Uturuki Erdogan anakutana na makamanda wa jeshi watiifu pamoja na baraza lake la mawaziri Jijini Ankara.

Mamlaka za nchi hiyo zimepiga marufuku kwa wanataaluma kusafiri nje ya nchi, wakati msako wa watumishi wa umma wanaoshukiwa kuhusika na mapinduzi hayo ukiendelea.

Zaidi ya watu 50,000 wamekamatwa, kufukuzwa kazi ama kusimamishwa kazi kwa kuhusika mapinduzi hayo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni