Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia), akimkabidhi Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Juma Abdul katika Hoteli ya Double Tree By Hilton Dar es Salaam juzi usiku. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)
Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi
akimkabidhi mfano wa hundi, Thabani Kamusoko. Kushoto ni mke wa mchezaji
huyo, Bongile Sibanda na mtoto wao, Shanna Lee.
Washindi
wa tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara wakiwa katika picha ya
pamoja baada ya kukabidhiwa tuzo zao katika Hoteli ya , Double Tree By
Hilton Dar es Salaam juzi usiku. Kutoka kulia Tshabalala, Kamusoko,
Tambwe, Juma Abdul, Aishi Manula na Ibrahim Hajib.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, akitoa hutuba fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wa hafla hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kutoa tuzo hizo.
Mchezaji Bora wa Ligi Kuu, Juma Abdul akionesha tuzo yake.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni