Mkufunzi wa mafunzo ya ufuatiliaji wa Dawa katika soko Bi. Kisa Mwamwitwa akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar katika ukumbi wa ofisi za malaria Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ( ZFDB) wakifuatilia mafunzo hayo.
Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya wiki mbili kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ( ZFDB). Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni