Wanajeshi
wapatao 17 wameuwawa na wengine 30 kujeruhiwa katika shambulizi
lililofanywa kwenye kambi ya jeshi nchini Mali.
Wavamizi
wanaume waliokuwa na silaha nzito walivamia kambi hiyo katika mji wa
kati wa Nampala, na kisha kuchoma moto sehemu ya kambi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni