Watu
wawili wameuwawa na wengine 16 kujeruhiwa katika tukio la shambulizi
la risasi kwenye klabu ya usiku katika mji wa Fort Myers huko
Florida, Marekani.
Shambulizi
hilo limetokea kwenye Klabu ya Blu, ambayo ilikuwa ikifanya sherehe
kwa kundi la vijana wenye umri mdogo.
Jeshi
la polisi linawashikilia watu watatu, na kusema kuwa tukio hilo
halina uhusiano na tukio la ugaidi.
Watu wakiangua vilio katika eneo la Klabu Blu, kufuati tukio la shambulizi la kutumia risasi
Kioo cha gari kilichovunjika baada ya risasi kupenya
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni