.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Agosti 2016

CHINA KUZINDUA DARAJA LA KIOO LA JUU ZAIDI NA REFU KULIKO YOTE DUNIANI


China kuzindua daraja lililojuu zaidi na lenye urefu mkubwa duniani lililojengwa na kioo katika sehemu ya kupitia.

Daraja hilo ambalo ni kivutio cha utalii linaunganisha vilele viwili vya milima ambavyo vinajulikana kama milima ya Avatar katika mkoa wa Zhangjiajie.
             Gari likipita juu ya daraja hilo ikiwa ni sehemu ya majaribio kabla ya uzinduzi
        Majaribio pia yalihusisha kupiga kioo cha daraja hilo kwa kutumia nyundo nzito


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni