Mchezaji
Leroy Sane anakaribia kukamilisha mpango wa kuhamia Manchester City
kutoka Schalke ya Ujerumani kwa uhamisho wa kitita cha ada ya paundi
milioni 37, na nyongeza.
Klabu
yake inayocheza ligi ya Bundesliga imetangaza hii leo kuwa kiungo
huyo ameenda Manchester na hajajiunga nao kwa ajili ya mazoezi ya
kujiandaa na msimu mpya wa ligi hiyo ya Ujerumani.
Meneja
wa Manchester City, Pep Guardiola alithibitisha Julai 21, kuwa
anataka kunasa saini ya Sane.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni