Katika huyu na yule wiki hii, tumezungumza Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kinyago Travels and Tours na Stuka Tanzania Diana Gasper, ambaye pamoja na mambo mengine, amezungumzia historia yake, ya kampuni zake na harakati nzima za biashara na harakati za kuikomboa jamii ya Tanzania
Amezungumza mengi.
Unaweza kutembelea tovuti yao "http://kinyagotravel. com/">http://kinyagotravel. com/ ama kupitia Instagram @diana_gasper ama @kinyagotravel ama @stukatanzania
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni