Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Misaada la Japan,(JICA) Bw. Hiruchi Kato (kulia kwake) na ujumbe wake , jijini Nairobi Agosti 26, 2016 ambako anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa sita Wa Tokyo International Conference o n Africa Development (TCAD). Kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni