Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) na kewe Fatma Mganga Ndugai wakati wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika Salasala jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) na mkewe Fatma Mganga Ndugai (wapili kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika, Salasala jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni