.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 21 Agosti 2016

MAJALIWA ATEMBELEA KIJI CHA KATUMBA WILAYANI MPANDA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania ili kumshukuru Mungu kwa kupewa urais huo wakati alipokitembelea kijiji Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary na kushoto i Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Raphael Mbuga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakifurahia baada ya kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania ili kumshukuru Mungu kwa kupewa urais huo wakati Waziri Mkuu alipokitembelea kijiji Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary na kushoto i Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Raphael Mbuga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania katika kijiji cha Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016 ili kumshukuru Mungu kwa kupewa uraia huo. Kushoto kwake ni mkewe Mary na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Raphael Mbuga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Makazi ya Wakimbizi ya Katumba mkoani Katavi, Bwana Igwe baada ya kuwasili kambini hapo kuzunguma na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. Wapili kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakati alipoingia kwenye kijiji hicho kuzungumza na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Raphael Mbuga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkuano wa hadhara katika kijiji cha Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mpango wa Mafunzo ya Ujasiriamali katika jimbo la Nsimbo mkoani Katavi aliouzindua kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Katumba akiwa katika ziara ya mkoa huo Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya baiskeli za wananchi wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni