Mapacha waliozaliwa wakiwa
wameungana na kupewa nafasi ya asilimia 20 tu ya kuishi wanajianda
kuanza shule nchini Uingereza.
Mapacha hao Rosie na Ruby walikuwa
wameungana tumboni na kuchangia sehemu ya utumbo mwembamba kabla ya
kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa mwaka 2012.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni