.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 9 Agosti 2016

MASHABIKI WA TENESI WAZIDUNDA UWANJANI JIJINI RIO

Wapenzi wa mchezo wa tenesi walijikutwa wakishangaa baada ya kuibuka ngumi baina ya shabiki wa Argentina na Brazil katika michuano ya Olimpiki ya Rio.

Polisi walilazimika kuingilia kati kuamua ugomvi huo baada ya mtazamaji wa Argentina kuamua kutumia ngumi dhidi ya mwenzake wa Brazil.
                                             Shabiki wa Brazil akimsukuma shabiki wa Argentina 
           Mashabiki hao wakipigana biti hata baada ya kuamuliwa na askari polisi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni