MHE. NAPE AWASHAURI WASAMBAZAJI WA FILAMU NA MUZIKI NCHINI KUFUATA SHERIA
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wawakilishi wa Umoja wa Wasambazaji wa Filamu na Muziki nchini katika kikao cha kujadili mustakabali wa usambazaji wa kazi za Sanaa leo Agosti 10,2016 Jijini Dar es Salaam.
Mbunge Jimbo la Ilala(CCM) Mhe. Mussa Azzan Zungu akifafanua jambo katika kikao kati ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye na wawakilishi wa Umoja wa Wasambazaji wa Filamu na Muziki nchini kujadili mustakabali wa usambazaji wa kazi za Sanaa leo Agosti 10,2016 Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Umoja wa Wasambazaji wa Filamu na Muziki nchini Bw. Joseph Lyakurwa akiwasilisha risala kwa niaba ya umoja huo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(hayupo pichani) wakati umoja huo ulipokutana na Waziri kujadili mustakabali wa usambazaji wa kazi za Sanaa leo Agosti 10,2016 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo akizungumza na wawakilishi wa Umoja wa Wasambazaji wa Filamu na Muziki nchini katika kikao cha kujadili mustakabali wa usambazaji wa kazi za Sanaa leo Agosti 10,2016 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasambazaji wa Filamu na Muziki nchini wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa kikao cha kujadili mustakabali wa usambazaji wa kazi za Sanaa leo Agosti 10,2016 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasambazaji wa Filamu na Muziki nchini wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa kikao cha kujadili mustakabali wa usambazaji wa kazi za Sanaa leo Agosti 10,2016 Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Raymond mushumbusi WHUSM)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni