Semenya, 25, ameweka rekodi ya taifa lake ya kushinda kwa muda wa dakika moja na sekunde 55.28 na kumshinda kiulaini mshindi wa medali ya fedha, Francine Niyonsaba wa Burundi.
Katika mbio hizo mwanariadha wa Kenya, Margaret Nyairera Wambui ametwaa medali ya shaba na kuweka rekodi yake mwenye mpya ya kutumia dakika moja na sekunde 57:69.
Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semenya akimaliza mbio za mita 800
Caster Semenya akiwaliwaza mwanariadha wa Canada Melissa Bishop
(kushoto) na Muingereza Lynsey Sharp (kulia)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni