Afisa Uhusiano PPF,Janet Ezekiel Akitoa Maelezo ya Ujazaji Fomu Kwa Wadai waliotembelea Banda Hilo ili Kujua Faida za Kujiunga ba Mtandao Mpana wa PPF
Mfuko wa PPF upo katika Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi katika Maonesho ya Nane nane ili Kutoa Elimu kwa Wananchi juu ya Mfumo wa WOTE SCHEME kwa Sekta Binafsi kama Vile Wakulima,Wafugaji,Mama Lishe,Madereva Bodaboda na Wajasilamali mbalimbali ili waweze kujiwekea Akiba wakati huohuo wakinufaika na Bima ya Afya,Mikopo kwa Ajili ya Kujiendeleza Kielimu,Kuongeza Mtaji na Kunufaika na Pensheni za kila Mwezi
Bi Janeth akiongea na Mtandao Huu ametoa Wito kwa Wadau Mbalimbali kutembelea Banda Hilo la PPF kwa Ajili kupata Elimu na Kujiunga na Mfuko Huo na Kufaidika na Fursa Zinazotolewa na PPF
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni