.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 18 Agosti 2016

MKUU WA WILAYA YA IRINGA, RICHARD KASESELA AKUTANA NA VIJANA WA KIHESA

Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akiongea na vijana wa kijiwe cha Kihesa.
Katika kupunguza kasi ya uhalifu na kuwawezesha vijana wa Iringa, Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela alikutana na vijana wa kijiwe cha Kihesa ambao wengi wao wanajishughulisha na kuosha magari na kuwaomba kusiadiana naye katika kutokomeza udokozi. 

Vijana hao walimuomba mkuu wa wilaya mashine ya kuoshea magari ambayo aliwahidi kuwatafutia ndani ya siku 2 ili mradi wajiunge kwenye kikundi na wafungue akaunti benki. 

Vijana hao walimshukuru sana mkuu wa wilaya na kuahidi kuwa watiifu wa sheria na kuchapa kazi. Kikundi hicho kina vijana 25.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni