.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 17 Agosti 2016

MOMBASA YAPIGA MARUFUKU SHEREHE ZA HARUSI ZA USIKU

Ndoa za usiku zimepigwa marufuku nchini Kenya katika mkoa wa pwani Mombasa baada ya mamlaka za mkoa huo kusema zimekuwa zikikukmbwa na matukio ya uhalifu.

Mamlaka ya mkoa huo imesema imefikia uamuzi huo baada ya kushamiri kwa matukio ya sherehe za harusi kuvamia na wahalifu.

Sherehe za harusi Mombasa huwa zinafanyika hadi kufikia siku tano, zikiwemo pati zinazofanyika hadi usiku wa manane.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni