.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 23 Agosti 2016

MWANARIDHA WA ETHIOPIA ACHANGIWA FEDHA ILI KUPATIWA HIFADHI

Kampeni ya kundi la watu imefanikiwa kukusanya kiasi cha dola 40,000 ili kumsaidia mshindi wa medali ya fedha katika mbio za marathoni Feyisa Lilesa wa Ethiopia ili kupata hifadhi.

Lilesa alimaliza mbio hizo za Olimpiki huku akionyesha ishara jamii ya Oromo ya Ethiopia, wanayotumia kupingana na serikali na uamuzi wa kutaka kutwaa eneo la jamii hiyo.

Mwanariadha huyo amesema anaweza kuuwawa iwapo atarejea nyumbani Ethiopia, hata hivyo serikali imesema itampokea kama shujaa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni