Mchunguzi
mkuu duniani wa ajali za ndege amesema kuwa anaamini kuwa ndege ya
Malaysia ya MH370 ilishushwa kwa makusudi ndani ya bahari.
Mchunguzi
huyo Larry Vance ameiambia programu ya habari nchini Australia ya 60
Minutes, kuwa mpasuko wa mabaki ya ndege hiyo yanaashiria kuongozwa
majini.
Ndege
hiyo Boeing 777 ilitoweka ikielekea Beijing China ikitokea Kuala
Lumpur Malaysia ikiwa na abiria 239 Machi 2014.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni