Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Austria hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Austria hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
PICHA NA IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni