.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Agosti 2016

RAIS WA ZAMANI WA FIFA, JOAO HAVELANGE AFARIKI DUNIA

Joao Havelange
Havelange ( kulia) akiwa na Sepp Blatter ( kushoto) hii ilikuwa mwaka 1998.

Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu ulimwenguni ( FIFA ) Joao Havelange amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100 mjini Rio de Janeiro, Brazil.

Joao Havelange ambaye ameiongoza Fifa toka mwaka 1974 - 1998 amefariki akiwa katika hospitali ya Samaritano mjini Rio.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni