.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 16 Agosti 2016

RUBANI WA NDEGE ILIYOANGUKA JUU YA MTI ALALA USIKU MZIMA JUU YA MTI

Rubani wa ndege ndogo iliyoanguka juu ya mti amelazimika kulala usiku juu ya mti na kusubiri kwa saa 12 baada ya waokoaji kusema inabidi wasubiri hadi pakuchwe ili wamuokoe.

Rubani na ndege hiyo ilianguka na kutua juu ya mti, karibu kilomita 30 mashariki mwa Mji wa Stuttgart kusini mwa Ujerumani jumatatu usiku.

Waokoaji walihofia kufanya zoezi la uokoaji usiku wa manane kwa kuogopa kuwa wakifanya hivyo huenda ndege hiyo ikaanguka chini ya mti.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni