Alifariki dunia Agost 19,2016 Jijini Dar baada ya kuugua kwa miezi kadhaa ambapo ameacha mme na watoto watatu. Mauti yamemkuta akiwa na miaka 57. Pumzika kwa Amani, Adda (1959-2016), Amen!
Mchungaji Machumu Julius Machumu wa Kanisa la Waadventist Wasabatho SDA, akiongoza ibada ya mazishi.
Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na mafariki wote walioguswa na msiba huu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni