.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Agosti 2016

UOGELEAJI WA MANJONJO WAWA KIVUTIO MICHUANO YA RIO 2016

Mchezo wa uogeleaji kundi kwa kufanya manjonjo mbalimbali majini umekuwa kivutio katika michuano ya Olimpiki ya Rio nchini Brazil.

Wachezaji ambao huogelea wakifanya manjonjo ya aina yake majini wakiwa na timu ya watu nane wameonyesha umahiri wa hali ya juu.
                                    Timu ya Uogeleaji wanawake wa  Japan kifanya vitu vyake
               Timu ya waogeleaji wa Japan ikiwa vichwa chini majini na kuchana msamba 
                         Timu ya China nayo ilifanya kweli katika kuonyesha manjonjo yake

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni