.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 24 Agosti 2016

WAZIRI WA AFYA AZINDUA BODI MPYA YA UDHAMINI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wakati akizindua bodi mpya ya udhamini wa hospitali hiyo Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Dk.Charles Majinge na Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Michael John
 Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Dk.Charles Majinge (kushoto), akizungumza katika uzinduzi wa bodi atakayoiongoza.
Wafanyakazi wa Hospitali hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
 Usikivu wakati waziri akizungumza nao.
Maofisa uuguzi wakiwa kwenye uzinduzi huo.
 Kaimu Mkurugenzi wa MNH, Profesa Lawrence Museru (kushoto), akiwa kwenye uzinduzi huo. Kulia ni Mjumbe wa bodi hiyo, Esther Manyesha na Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
 Uzinduzi ukiendelea.
Wadau wa sekta ya afya wakifuatilia uzinduzi huo. 
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni