.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Septemba 2016

ASILIMIA 85 YA WAKAZI WA JIJI LA NAIROBI KUKOSA MAJI KWA SIKU MBILI

Mamia ya wakazi wa Jiji la Nairobi watakosa maji kwa siku mbili baada ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Jiji la Nairobi kupanga kufunga kwa muda mtambo wa kusafishia maji wa Ngethu kwa matengenezo.

Mamlaka hiyo ya maji ya Jiji na Nairobi, hii leo imetangaza kukosekana kwa huduma ya maji katika siku za Alhamisi na Ijumaa wiki hii.

Mtambo wa kusafisha maji wa Ngethu hutoa huduma ya maji kwa asilimi 85 ya wakazi wa Jiji la Nairobi. Mtambo huo unafungwa kwa muda ili kubadilishwa valvu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni