.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 22 Septemba 2016

BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA RAIS LAKUTANA LEO IKULU

Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo (wa nne kutoka kulia) akiongoza kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016
Katibu Msaidizi Tume ya Maadili (Kanda ya Kusini) Be. Muhuwa R. Kapangawazi akitoa mada kuhusu Maadili ya Utumishi wa Umma na Tamko la Ahadi ya Uadilifu wakati wa kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016
Kaimu Mshauri wa Kitaalamu Ofisi ya ushauri wa Mafuta na Gesi ofisi ya Rais Ikulu, Dkt. Emma Msaky, akitoa mada kuhusu utendaji wa ofisi yake wakati wa kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016
Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo (wa nne kutoka kulia) na viongozi wengine pamoja na wajumbe wakipata picha ya pamoja baada ya kikao cha kawaida cha Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Rais, Ikulu, katika Ukumbi wa Mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2016
 
PICHA NA IKULU


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni