.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Septemba 2016

BOKO HARAM WAVAMIA KIJIJI NA KUMCHINGA CHIFU NA MTOTO WAKE

Kikundi cha kujilinda kimesema kuwa wapiganaji wa Boko Haram wameshambulia kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Nigeria na kumkata kichwa chifu wa kijiji hicho na mtoto wake wa kiume.

Kikundi hicho cha Abbas Gavi cha wananchi wa Nigeria, kimesema wapiganaji hao wa Boko Haram walivamia kijiji hicho cha Tallari jumatatu kabla ya mapambazuko.

Wamesema wapiganaji hao walimkata shingo chifu wa kijiji hicho Ba' Lawan pamoja na mtoto wake wa kiume na kuichoma moto nyumba yake pamoja na nyingine kijijini hapo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni