.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 10 Septemba 2016

CRISTIANO RONALDO KUSHUKA DIMBANI KWA MARA YA KWANZA LEO TANGU AUMIE FAINALI YA EURO 2016

Cristiano Ronaldo atashuka dimbani akiwa na Real Madrid kwa mara ya kwanza tangu aumie katika mchezo wa fainali wa Euro 2016, wakati Madrid ikivaana na Osasuna katika ligi ya La Liga hii leo.

Mshambuliaji Ronaldo, 31, alikosa michezo mitatu ya mwanzo ya ligi hiyo yenye ushindani kutokana na kuwa na jeraha katika goti lake.

Robaldo alipata jeraha hilo baada ya kugongana na mchezaji wa Ufaransa Dimitri Payet wakati Ureno ikiwashinda wenyeji wa michuano ya Euro 2016 Ufaransa kwa goli moja kwa bila na kutwa ubingwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni