.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Septemba 2016

DK. SHEIN AKUTANA NA WIZARA YA AFYA NA WIZARA YA ARDHI, MAJI, NISHATI NA MAZINGIRA

SK1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
SK2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020, katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
SK3
Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Wizara ya Afya wakiwa katika mkutano wa siku moja kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
SK4
Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Wizara ya Afya wakiwa katika mkutano wa siku moja kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
SK5
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt.Juma Malik Akil akifafanua jambo katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (kushoto) Naibu Waziri Harusi Said Suleiman na (kulia) Naibu Katibu Mkuu Nd,Halima Maulid Salum,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
SK6
Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar Dkt,Abduhamid Yahya Mzee (kulia) akitoa mchango wake wakati Mkutano wa siku moja wa Wizara ya Afya kuhusu mpango wa Utekelezaji Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa Kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,(katikati)Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dkt.Jamala Adam Taib na Mshauri wa Waziri wa Afya Dkt.Mohamed Jidawi (kushoto) [Picha na Ikulu.] 05/09/2016.
SK7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko, kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 05/09/2016.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni