Gavana wa Carolina ya Kaskazini
ametangaza hali ya tahadhari katika mji wa Charlotte na kutuma
walinzi wa taifa, kutokana na kuendelea kwa ghasi za tukio la polisi
kumuua mtu kwa kumpiga risasi .
Ghasi zimeibuka tena kwa usiku wa
pili mfululizo wakati waandamanaji wakiendelea kupinga tukio la
kuuwawa kwa kupigwa risasi na polisi mwanaume mmoja Mmarekani mweusi
katika mji huo.
Waandamanaji wakiangalia damu ya mmoja wa mwenzao aliyejeruhiwa
Mmoja wa waandamanaji akiwa amesimama juu ya gari
Waandamanaji wakijizuia kwa nguo kuvuta moshi wa mabomu ya machozi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni