.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 13 Septemba 2016

KIPINDI CHA JUKWAA LANGU SEP 12 2016, TETEMEKO BUKOBA

Katika kipindi cha JUKWAA LANGU hii leo, tulizungumzia janga kuu la Tetemeko la ardhi nchini Tanzania

Wadau Baraka Galiatano wa BukobaWadau Blog na Erick Kimasha walijiunga nasi  kwa njia ya Skype kutoka Tanzania kutupa taswira ya nini kilitokea, vipi
kilipokelewa na maendeleo tangu Sept 10 na hali ilivyo hivi sasa mjini
humo.


Pia tuliungana na mmoja wa wanaharakati ambao wameanzisha mfuko maalum kuchangia wahanga wa tetemeko hilo Agnetta . 

Ungana nasi kuanzia saa 11 kamili jioni majira ya Marekani Mashariki (5:00pm ET) kupitia 

https://exit.sc/?url=http%3A%2F%2Fwww.kwanzaproduction.com

Kwa walio Marekani na Canada piga 240 454 0093

                                                                                                                  Karibuni

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni