.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 10 Septemba 2016

MAANDALIZI YA SALA YA IDD EL HAJJ NA BARAZA LA IDD KITAIFA MKOANI PEMBA YAKAMILIKA

Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - el haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa Swala ya Idd -el-Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.
Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - El - Haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa Swala ya Idd-el Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Swala ya Idd-El-Hajj Kitaifa, juu ya matayarisho ya Swala hiyo huko katika Skuli Mpya ya Mkanyageni eneo ambalo linatarajiwa kufanyika Baraza la Iddi Kitaifa.
Wajumbe wa Kamati ya Swala ya Idd -El-Hajj Kitaifa , wakimsikiliza Katibu wa kamati hiyo ambae pia Waziri wa nchi Ofisi ya Rais , Katiba , Sheria , Utumishi wa Umma na utawala bora , Haruna Ali Suleiman.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria , Utumishi wa Umma na Utawala bora ambae pia ni Katibu wa Kamati hiyo , akizungumza jambo kuhusiana na matayarisho ya Swala na Baraza la Idd yanavyoendelea katika Wilaya ya Mkoani -Pemba. Picha na Hanifa Salim -Pemba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni