.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 16 Septemba 2016

MAJALIWA AFUNGA BUNGE NA APOKEA MISAADA YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Septemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 100 kutoka kwa Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Caspian, Bw. Omid Karambeck ukiwa ni mchango kwa ajaili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya bungeni mjini Dodoma, Septemba 16, 2016. . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimshukuru, Mkurugenzi Mtendaji wa Kapuni ya Border Limited, Bw. Wu Yahui baada ya kupokea shilingi milioni 20 zikiwa ni mchango wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makbidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Septemba 16, 2016. Katikati ni Mbunge wa Kibiti, Ali Ungando. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni