.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 28 Septemba 2016

MAJALIWA AWASILI KIBITI KWA ZIARA YA SIKU MOJA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Wabunge, Zaibab Vullu wa Viti Maalum (kulia) na Ali Ungando wa Kibiti baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibiti akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo Septemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Zainab Vullu baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibiti kwa ziara ya siku moja wilayani humo Septemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni