.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Septemba 2016

MAJALIWA AWASILI MAFIA KUANZA ZIARA YA MKOA WA PWANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia kwa ziara ya kikazi wilayani humo Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Pwani baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mafia kwa ziara ya kikazi Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka kwenye Msikiti Mkuu wa Mafia bbada ya kushiriki sala ya Ijumaa akiwa katika siku ya kwanza na ziara ya mkoa wa Pwani Septemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni