Manchester City wameendeleza ushindi
wa asilmia 100, baada ya hii leo kuifunga Swansea kwa magoli 3-1 huku
Sergio Aguero akitupia magoli mawili na kufikisha idadi ya magoli 11
katika msimu huu.
Aguero alikuwa wa kwanza kuipatia
Manchester City goli la kuongoza lakini Fernando Llorente
aliwasawazishia wenyeji Swansea. Arguero tena akafunga kwa mkwaju wa
penati na baadaye Raheem Starling kutunga la tatu.
Sergio Aguero akiifungia Manchester City goli la pili kwa mkwaju wa penati
Raheem Starling akiifungia Manchester City goli la tatu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni