.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Septemba 2016

MARCUS RASHFORD AIFUNGIA UINGEREZA U 21 MAGOLI MATATU

Mchezaji Kinda wa Manchester United Marcus Rashford ametakata katika mchezo wa timu ya taifa ya Uingereza chini ya umri wa miaka 21 kwa kufunga magoli matatu 'hat trick' na kutuma ujumbe tosha kwa makocha Jose Mourinho na Sam Allardyce juu ya umuhimu wake.

Katika mchezo huo ambao Uingereza iliibuka na ushindi mnono wa magoli 6-1 dhidi ya Norway, Rashford alikuwa wa kwanza kuifungia Uingereza, Nathaniel Chalobah alifunga la pili na Ruben Loftus-Chee la tatu, Rashford akafuga mawili mengine Lewis Baker akafunga la sita.
            Marcus Rashford akimchambua kipa kwa mkwaju wa penati na kufunga goli 
                    Sio Ronaldo tu hata mimi naweza: Rashford akipiga mpira kwa madoido 
   Kocha wa timu ya wakubwa ya Uingereza Sam Allardyce akimpigia makofi Rashford kuonyesha kumkubali

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni