.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 27 Septemba 2016

MTENDAJI MKUU MPYA WA TTCL ATEMBELEA OFISI YAKE

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akipeana mkono na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dkt. Kazaura.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kushoto), leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dkt. Kazaura.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kushoto), leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dkt. Kazaura. KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo ametembelea Makao Makuu ya TTCL na kukutana na Mtangulizi wake, Dk. Kamugisha Kazaura. Utambulisho wa awali wa kiongozi huyo mpya umefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, anaesimamia sekta ya Mawasiliano Prof Faustine Kamuzora. Makabidhiano rasmi ya ofisi yatafanyika baadae.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akikumbatiana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dkt. Kazaura.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akikumbatiana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dk. Kazaura.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo ametembelea Makao Makuu ya TTCL na kukutana na Mtangulizi wake, Dkt. Kamugisha Kazaura.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo ametembelea Makao Makuu ya TTCL na kukutana na Mtangulizi wake, Dkt. Kamugisha Kazaura.
Wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa TTCL.
                  Wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa TTCL.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni