.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Septemba 2016

PENATI YA DAKIKA ZA MWISHO YAIPATIA USHINDI ARSENAL

Penati ya dakika za mwisho ya Santi Cazorla imeipatia ushindi usiotarajiwa Arsenal dhidi ya Southampton ambayo ilionekana kuwa imara licha ya kuwa ugenini katika dimba la Emirates.

Katika mchezo huo Southampton ilipata goli la kuongoza baada ya kipa Petr Cech kuugonga mpira wa adhabu uliopigwa Dusan Tadic na kugonga mwamba na kisha mpira huo kurudi na kumgonga mgongoni na kuingia wavuni.

Hata hivyo Laurent Koscienly alisawazisha kwa mpira wa tik taka alioupiga kiufundi kufuatia mpira wa kona uliopigwa na Santi Carzola na kushindwa kuokolewa na kumkuta mfungaji.
   Shuti lililopigwa na Dusan Tadic likiingia wavuni baada ya kugonga kipa Petr Cech
                                          Laurent Koscienly akifunga kwa mpira wa tik taka

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni